Kufuatilia Miradi ya Maendeleo, Kuitathimini na Kuitolea Taarifa ya Utekelezaji.
Mafunzo haya yatatolewa kwa hatua mbili. Hatua ya kwanza itamuwezesha mshiriki kujifunza mbinu mbalimbali za kufuatilia maendeleo ya mradi pamoja na kutathimini jinsi ambavyo mradi unatekelezwa kwa kuzingatia malengo ya mradi. Hatua ya pili itamuwezesha mshiriki kuelewa mbinu za ushirikishwaji wa wadau wote wanaotekeleza mradi ili kufanikisha ufuatiaji na usimamizi wa shughuli za mradi. Pia, mshiriki atajifunza uwajibikaji ili kufikia malengo ya mradi. Mafunzo haya yanalenga watu ambao hufanya kazi ya kuratibu au kusimamia miradi ya maendeleo pamoja na watafti na maafisa kwenye miradi ya maendeleo.
Hatua ya kwanza: 15 – 19 Februari 2021
Hatua ya pili: 22 – 26 Februari 2021
Hatua ya kwanza: 12 – 16 Julai 2021
Hatua ya pili: 19 – 23 Julai
Hatua ya kwanza: 1 – 5 Novemba 2021
Hatua ya pili: 8 – 12 Novemba 2021
$295