Utafutaji na usimamizi wa Rasilimali za Miradi ya Maendeleo
Mafunzo haya yamejikita katika kuwawezesha wadau wa maendeleo katika kujifunza jinsi ya kutafuta na kusimamia rasilimali za mradi wa maendeleo – rasilimali zitokanazo na wafadhili na pia huwawezesha washiriki kuelewa namna mbalimbali ya kupata rasilimali ikiwemo fedha kutoka kwa jamii/wadau wanaowazunguka. Mafunzo ya upatikanaji wa rasilimali kutoka kwa jamii yatatolewa kwa kumjifunza mchangiaji mahiri wa shughuli za maendeleo kwa jamii Darren Walker alieandika kitabu cha: Kutoka kutoa kwa upendo kwenda kwenda utoaji kwaajili ya kutetea haki.
Tarehe: 15 – 19 Machi 2021, 16 – 20 Agosti 2021, 25 – 29 Octoba 2021
Course date:
16th August 2021
Category:
Staff Skills for Results-based Performance
Course duration:
1 week
Fee for the Course/Workshop:
$295