Skip to main content

MAFUNZO YA UFUNDISHAJI LUGHA MTANDAONI

USULI

Ufundishaji lugha kwa njia ya TEHAMA umepewa kipaumbele duniani kote ili kuhakikisha uratibu na urithishaji wa maarifa unaendelea licha ya kuwa na changamoto katika mazingira halisi ya ufundishaji kutokana na sababu mbalimbali.

Mafunzo mahususi yameandaliwa ili kuwezesha wataalamu wa ufundishaji lugha na waratibu kuweza kuandaa na kuendesha mafunzo mtandaoni kwa ufanisi.

MADA

 • Dhana ya ufundishaji mtandaoni
 • Majukwaa ya ufundishaji mtandaoni
 • Mikabala ya ufundishaji mtandaoni
 • Uandaaji wa masomo ya mtandaoni
 • Zana na mbinu za ufundishaji mtandaoni
 • Utambuzi wa changamoto za kiteknolojia na suluhisho
 • Mafunzo kwa vitendo: Jukwaa la Canvas

 

WALENGWA WA MAFUNZO

 • Waratibu na walimu wa programu za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
 • Wataalamu wa uandaaji wa mitaala
 • Walimu wa lugha nyingine za kigeni (Kifaransa, kijerumani, kichina na n.k)

 

 

MAHITAJI YA MSHIRIKI

 • Mshiriki anapaswa kushiriki mafunzo akiwa na zana zifuatazo:
 • Kompyuta (laptop) yenye kamera au kamera ya nje (webcam) na kasi ya ram angalau 4 GB na kuendelea;
 • Headphones; na USB Drive
 

ADA

Ada ya Ushiriki - TZS 250,000/=

 

JINSI YA KULIPA

 • Jina la Benki: CRDB
 • Jina la akaunti: MSTCDC
 • Namba ya akaunti: 0150 4064 25901
 • Maelezo: SWAHILI TOT

 

THIBITISHA USHIRIKI

Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 15 Aprili 2022 kwa

Mwl Said Omar: omars@mstcdc.or.tz / +255 713 727 806 au +255 742 727 874

WHAT:
Swahili TOT
WHERE:
At MS TCDC, Arusha
DURATION:
1 Week
TUITION FEE:
TZS 250,000/=

In the words of others

GET OPPORTUNITIES AND STORIES DIRECTLY IN YOUR INBOX

Subscribe now